The Authority wishes to inform the petroleum industry operators, suppliers, service providers and the general public that it has updated the LSSP for a period of 1st – 29th April, 2021 with 612 local business entities.
Read More:https://www.ewura.go.tz/local-content-lssp-database/
Hits: 446
Naulizia kuhusu nafasi kwa wahudumu wa pump (pump operator) katika mradi wa mafuta Tanga tunaweza kuomba nafasi kupitia njia gani?
Ndugu Sabry, utaratibu ni kujaza fomu ili kujisajili katika kanzidata inayoratibiwa na EWURA. Fungua kiunganishi https://www.ewura.go.tz/local-content-lssp-database/ ili upate mwongozo wa namna ya kujaza fomu kisha ujaze fomu husika na uitume EWURA. Kisha EWURA itapitia taarifa zako na kama umekidhi kusajiliwa, utawekwa katika kanzidata ambayo watoa huduma wataitumia wakati wa kutafuta wafanyakazi kwenye mradi wa bomba la mafuta lakini pia kwenye miradi mingine ya aina hiyo.
Endapo utapata changamoto yoyote unaweza kupiga simu 0800110030-BURE (Muda wa kazi) kwa maelezo zaidi.
Karibu