TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa Kampuni ya Dangote Cement Ltd

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi haya awasilishe kwa maandishi kabla ya saa 10 jioni ndani ya siku ishirini na moja (21) tangu siku ya kutolewa kwa tangazo hili.

Soma Zaidi:-

 

Hits: 131

6 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa Kampuni ya Dangote Cement Ltd

 1. Tangazo la maombi ya leseni ya kuzalisha umeme toka kampuni ya Dangote, Halioneshi tarehe ya kutolewa tangazo hilo au ingependeza kuonyesha siku ya mwisho (deadline) ya kuwasilisha maoni au pingamizi.

  1. Ndugu Salum,
   Tumepokea usahauri wako.
   Aidha, tarehe ya kutolewa tangazo ni siku lilipochapishwa katika tovuti yetu na katika magazeti mbalimbali.
   Karibu.

 2. Kwa usajili wa awali wa kujaza aina ya leseni, daraja la leseni, wakati wa ku submit, ile button ya submit inapotea inakuwa haionekani kwa tunaotumia simu (smartphone)
  Tatizo ni nini? Tunashindwa kuendelea na usajili wa leseni kwa sababu hiyo.
  Msaada wenu tafadhari.

 3. Ukiwa haujajaza taarifa yoyote ile button inaonekana, ila ukisha jaza tu taarifa zote, ile button inatoweka

 4. Ukiwa haujajaza taarifa yoyote ile button inaonekana, ila ukisha jaza tu taarifa zote, ile button inatoweka hasa nikiweka electrical installation

  1. Ndugu Innocent, pole kwa changamoto tafadhali tunaomba namba yako ya simu kwa hatua zaidi au piga simu 0800110030 kwa msaada. Aidha unaweza kutuma email kwenda support@ewura.go.tz ili suala lako lishughulikiwe na wataalam.Usisahau kandika namba ya simu.
   Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *