TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Kutoa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Read More:-Mwito wa Maoni

Hits: 294

3 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Kutoa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Sekta ya Mafuta ya Petroli

  1. Namna ya kujisajiri ili kutoa huduma katika ujenzi wa Bomba la mafuta Hoimonhadi ChongoleenibTanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *