TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kutoa maoni kuhusu maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni ya Biashara ya Mafuta

Hits: 346

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *