Employment Opportunities August 2021

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA)   EWURA has various vacancies for which suitably qualified staff are invited to apply  by 27th August 2021 .

Read More:-Employment Opportunities-August 2021

Hits: 4020

26 thoughts on “Employment Opportunities August 2021

 1. Thank you for all the hard work you put in daily! Know that it is recognized and greatly appreciated” “Thank you for stepping in and saving Tanzania Economy without Ewura ,’Tanzania tungepata Shida ya milipuko ya bei’ Tunashukuru kwa udhibiti wenu

   1. Hellow Chief,Nina bachelor degree in Automobile Engineering.Niko interested na kufanya internship Hapo Ewura.MSAADA PLS

 2. Hellow Chief,Nina bachelor degree in Automobile Engineering.Niko interested na kufanya internship Hapo Ewura.MSAADA PLS

  1. Hello Bwana Omary,
   Tafadhali unashauriwa kuandika barua kwa Mkurugenzi Mkuu kueleza suala lako; endapo nafasi hiyo itakuwepo utajulishwa.
   Karibu

   1. Habari ewura samahani nataka kufaham nafasi ya Account officer II ilitangazwa June shortlist tayari?na nafasi zilizotangazwa August 2021 bado shortlist au tayari
    ?

    1. Ndugu Ibrahim,
     Tunapenda kukufahamisha kuwa nafasi ya Accounts Officer II iliyotangazwa mwezi Juni, 2021 ilishajazwa.

     Nafasi zilizotangazwa mwezi wa Nane, 2021, bado hazijafanyiwa kazi.
     Karibu

 3. Attention dear, I am a petroleum graduate engineer at the university of Dodoma and consistently been impressed to conduct my seap training to EWURA basically to enhance my experience towards oil and gas professional career. kindly requesting your assistance.

  1. Dear Mr. Noel
   EWURA does not provide on job training rather it only offers field practices for students who are still undergoing their studies.
   Thanks.

   1. Fine, I have seen several job vacancies advertised from your good office but never have I seen the names of the ideal candidates of your preferences been called for interviews.

 4. Hellow, habari za majukumu. Napenda kufanya kazi ya kujitolea ewura (volunteer) kwa fani yangu, nina BSc in Geology, UDSM. Nimeona hapo juu umemuelekeza mdau aandike kwa Director General , kwa uzoefu wako hizo kazi za kujitolea huwa zinapatikana kwel hapo ewura? Niko interested sana kufanya kaz nanyi. Nawasilisha

  1. Ndugu Jackline,
   EWURA huwa inatoa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi (field attachment)pekee. Hata hivyo,unaweza kuandika barua kwa Mkurugenzi Mkuu, endapo kuna uhitaji huo utajulishwa.
   Karibu

  2. Naitwa sweya
   Napenda kufahamu kuhusu majibu kwa barua za field tukizowasilisha huwa iko vipi iyoo .
   Kazi njema.

  1. Ndugu Mrisho,
   Maombi hufanywa kwa njia ya kieletroniki kupitia mfumo wa LOIS katika tovuti yetu. Bofya kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/; jisajili kisha endelea kujaza fomu. Unapaswa kuwa na picha yenye kivuli cha bluu, vyeti husika na wasifu wako (CV) unaoeleza kazi ambazo umewahi kufanya (kama zipo).
   Endapo utapata changamoto yoyote katika utaratibu wa maombi tuma barua pepe kwenda support@ewura.go.tz.au simu 0800110030 (bila gharama)
   Karibu

  1. Ndugu Farahani,
   Tafadhali tuma barua kutoka chuo unachosoma na endapo nafasi ikipatikana utajulishwa.
   Asante

 5. Naitwa sweya
  Napenda kufahamu kuhusu majibu kwa barua za field tukizowasilisha huwa iko vipi iyoo .
  Kazi njema.

 6. ewura am athumani ismaili as mechanical technician i graduated at dar es salaam institute of technology in the year of 2016 and i ready worked in various sectors concerning mechanical and minerals i like to join ewura if opportunity will be open for mechanical technician nta level 6, am fast learner,creative,initiative and i able to work within a teamwork namb yng 0789607405 nipo dodoma nzuguni tusaidiane jamani sina mkataba

 7. Hallo EWURA

  Nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi wa 9 2021 ikiwemo ya zone Manqger zimeshajazwa? Kma bado lini mnategemea kuita watu kwenye interview

  1. Ndugu Fikiri,
   Taarifa za ajira hutolewa kwa kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye tangazo la husika.

   Asante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *