Mwito wa Kutoa Maoni : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma zaidi :- Mwito wa Kutoa Maoni

Hits: 263

One thought on “Mwito wa Kutoa Maoni : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *