Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Desemba 2021.
Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/
Views: 5263
Jamani haya mafuta mbona yatatuto roho sasa ..
Hii dunia mbona iko na kasi sanaa …
Eeeh Mungu baba tuamshie mtetezi wetu japo kwa dakika chache apate kuona alichokiacha huku Tanzagiza…😭😭