TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yaandaa Kanuni Mpya za Umeme za mwaka 2022

Kwa mujibu wa Kifungu cha 8(1) (h) cha Sheria ya Umeme, Sura ya 131, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeandaa Kanuni mpya za Umeme (Huduma za Ufungaji Mifumo ya Umeme) za mwaka 2022.

Soma Zaidi:-

Visits: 333

3 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yaandaa Kanuni Mpya za Umeme za mwaka 2022

    1. Ndugu Joseph,
      Mtu mwenye elimu hiyo anaweza kupata leseni.
      Karibu ufanye maombi kupitia mfumo wa LOIS katika tovuti http://www.ewura.go.tz kisha bofya LOIS kupata https://lois.ewura.go.tz/ewura/. Fungua kiunganishi kisha jisajili na kuendelea kujaza fomu ya maombi.Unatakiwa kuwa na picha ya pasipoti (yenye kivuli cha bluu), cheti cha elimu ya ufundi kilichothibitishwa na mwanasheria au hakimu, kitambulisho cha taifa, kupigia kura au leseni ya udereva,wasifu (CV) yako.

      Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *