Mwito wa Maoni: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni- 20220421

Visits: 329

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *