TANGAZO: Kuhama Ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki

Taarifa inatolewa kuwa, kuanzia tarehe 16.5.2022, Ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki zitakuwa ghorofa ya 4, jengo la PSSSF, Barabara ya Sam Nujoma.

Soma Zaidi:-Tangazo_ Kuhama Ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki

Hits: 283

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *