Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, Mamlaka imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli, Hivyo, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni awasilishe kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.
Soma Zaidi:-Maombi ya Leseni Mkondo wa Chini wa Mafuta ya Petroli
Hits: 233