Mwito wa Maoni:Maombi ya Leseni kujihusisha na Mkondo wa Chini waSekta ya Mafuta yaPetroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma Zaidi:-Maombi ya Leseni Sekta ya Mafuta ya Petroli

Hits: 90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *