Taarifa inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta ya Petroli kutoka Mtweve Oil – Sangambi Filling Station kwenda Moshi Zuberi Nzowa.
Soma Zaidi:-Ombi la Kubadili Umiliki na Jina kutoka Mtweve kwenda Moshi Nzowa
Hits: 190