Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana dhidi ya maombi ya leseni ya kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma kwa ajili ya kutoa huduma za maji na usafi wa mazingira katika Manispaa ya Kigoma, Mkoa wa Kigoma, awasilishe kwa maandishi EWURA ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili.
Soma Zaidi:-
Hits: 252