MWITO WA KUTOA MAONI :Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini waSekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, EWURA inatoa mwito wa maoni kutoka kwa mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni  kwamba asipewe leseni,  kuwasilisha pingamizi hilo ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Maombi ya Leseni Petroli

Hits: 129

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *