Mwito wa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni hapo juu kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:-Maombi ya Leseni ya Biashara ya Rejareja ya Mafuta-JAN23

Hits: 204

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *