TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano 1 Februari 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Februari 2023.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Hits: 3212

2 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano 1 Februari 2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *