Taarifa inatolewa kwa umma chini ya Kifungu na 19(2) (a) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 kuwa, mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya maombi tajwa hapo juu, awasilishe kwa maandishi EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili.
Soma Zaidi:-Maombi ya Leseni Tunduru na Tunduma WSSA
Hits: 37