TAARIFA KWA UMMA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango Azindua Taarifa za Utendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa maka 2021/22

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Philip Isdor Mpango leo tarehe 20 Machi 2023 amezindua ripoti za Tathmini ya Utendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa mwaka 2021/22. Lengo la Taarifa hii ni kuibua changamoto zilizopo katika Mamlaka za Maji na kuwezesha Serikali na wadau mbalimbali kuona maeneo ya vipaumbele vya uwekezaji na kuandaa mipango ya kuboresha utoaji wa huduma za maji safi na usafi wa mazingira.

Soma Zaidi:-Sector Performance Reports

Hits: 208

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *