TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Petroli kuanzia Jumatano tarehe 5 Aprili 2023

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Aprili 2023.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Visits: 6288

2 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA: Bei Kikomo za Bidhaa za Petroli kuanzia Jumatano tarehe 5 Aprili 2023

  1. Ndugu Hilary
   Bei ya Handeni kwa mwezi Mei ni Handeni Petroli 2,777 Dizeli 2,921 Mafutaya taa 2,855.
   Vilevile, bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa eneo husika zinapatikana pia kupitia simu za mkononi kwa kupiga namba *152*00# chagua na 4, kisha kufuata maelekezo. Huduma hii ni bure na inapatikana kupitia mitandao yote ya simu za mkononi hapa nchini.

   Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *