EWURA inatoa ONYO kwa wazalishaji, waagizaji, wauzaji wa jumla, na wasambazaji wa vilainishi kuacha mara moja kuuza bidhaa zisizokidhi ubora kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria.
Soma Zaidi:-ONYO -KWA WAAGIZAJI, WASAMBAZAJI NA WAUZAJI WA VILAINISHI VYA MAGARI 230404
Hits: 245