TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Kibali cha Ujenzi kutoka kwa Kampuni ya TAQA Dalbit Tanzania LTD kwa ajili ya Kituo cha Kujaza Gesi Iliyoshindiliwa

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imepokea maombi ya Kibali cha Ujenzi kutoka kwa Kampuni ya TAQA Dalbit Tanzania LTD kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Kujaza Gesi iliyoshindiliwa katika Kiwanja Na. 2005/5/1/3 Kitalu C, Manispaa ya Ubungo,  Barabara ya Sam Nujoma, Dar Es Salaam.

Soma Zaidi:-Maombi ya Kibali cha Ujenzi kutoka kwa TAQA Dalbit Tanzania LTD

Hits: 41

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *