TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei kutoka Mamlaka ya Makonde WSSA

Taarifa  inatolewa kwa mujibu wa Kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414, kuwa EWURA itafanya taftishi  na mkutano wa kusikiliza maoni ya wadau utakaofanyika siku ya Alhamisi, tarehe 18 Mei 2023 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala uliopo mjini Newala kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni ya Wadau Bei za Makonde WSSA

Visits: 37

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *