TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maoni ya Marekebisho ya Bei kutoka Rombo WSSA

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 18 Mei 2023, katika Ukumbi wa Gosheni uliopo Mkuu, Rombo kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la Watumia Huduma Zinazodhibitiwa na EWURA (EWURA CCC) na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni ya Wadau Bei za Rombo WSSA

Visits: 86

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *