TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta kutoka National Oil Tanzania Ltd- Mafinga Service Station kwenda Msigwa Logistics & Timber Supply.
Soma Zaidi: –Mwito wa Maoni-Maombi ya kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta
Views: 230