Mwito wa Kutoa Maoni -Maombi ya Vibali na Leseni za Shughuli za Mkondo wa Kati na wa Chini wa Sekta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, EWURA  imepokea maombi ya vibali vya ujenzi ya miundombinu ya mafuta na leseni kwa ajili ya kujihusisha na biashara/shughuli katika mkondo wa kati na chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Hivyo basi, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote aliyetajwa hapa chini kwamba asipewe leseni au kibali cha ujenzi, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Read More:Mwito wa Maoni-Maombi ya Vibali vya Ujenzi na Leseni Sekta ya Petroli

 

 

 

Views: 110

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *