TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni ya Biashara ya kusambaza gesi ya Kupikia na Leseni na Jina la Kituo cha Mafuta.

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba EWURA imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni ya biashara ya kusambaza gesi ya kupikia na leseni na jina la kituo cha mafuta. Hivyo basi, Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa , afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA ndani ya siku kumi na nne tokea tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:-

Views: 55

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *