TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni kuhusu Maombi ya Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Kujaza Gesi asilia kwenye Magari kutoka Victoria Services Station

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea ombi la kibali cha ujenzi wa kituo cha kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa kwenye magari kutoka Victoria Services Station kitakacho jengwa katika kituo cha Victoria Services kilichopo kandokando ya barabara ya Nyerere, katika kiwanja namba 112 eneo la viwanda Kipawa, Jiji la Dar es Salaam.

Hivyo, mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya ombi tajwa hapo juu, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.

Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Ombi la Kibali cha Ujenzi kutoka Victoria Services Station

Views: 50

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *