TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea maombi ya kuhuisha leseni ya kuzalisha umeme kutoka Mufindi Paper Mills Limited. Hivyo basi, mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya maombi haya awasilishe kwa maandishi ndani ya siku ishirini na moja (21) tangu siku ya kutolewa kwa tangazo hili. Nyaraka za maombi ya leseni zinaweza kuoneshwa kwa mtu atakayewasilisha maombi kwa maandishi.
Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni – Maombi ya Leseni Mufindi Papermills
Views: 130