TAARIFA KWA UMMA : MARUFUKU YA KUUZA MAFUTA YA PETROLI KATIKA MADUMU

EWURA inawakumbusha wamiliki wote wa vituo vya mafuta, kuzingatia matakwa ya kanuni Namba 27 kwa kutoruhusu uuzwaji wa mafuta ya petroli katika vifaa visivyo ruhusiwa kuchukulia/ kuhifadhia mafuta kama vile madumu, chupa za aina zote na vifaa vingine visivyo ruhusiwa kisheria.

SOMA zaidi :- TAARIFA JUU YA MARUFU MAFUTA-MADUMU_240916_102548

Views: 314

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *