Taarifa kwa Umma : Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta kutoka Mguli Petrol Station – Kibaigwa Majengo, Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa , awasilishe kwa maandishi EWURA  siku kumi na nne tokea tarehe kuchapishwa kwa tangazo hili.

Soma Zaidi ;- Kobil Tanzania Limited from Mguli

Views: 78

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *