EWURA imepokea maombi ya leseni ya muda ya kuzalisha umeme kutoka kwa Kampuni ya Armstone Hydro Ltd. EWURA inakaribisha maoni au pingamizi kuhusiana na maombi hayo ya leseni ndani ya siku ishirini na moja (21) tangu siku ya kutolewa kwa tangazo hili. Maombi ya leseni yanaweza kuoneshwa kwa mtu kwa maombi maalum ya maandishi.
Soma zaidi ;- Armstone Hydro Limited
Views: 91