TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Majina ya Vituo vya Mafuta.

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba EWURA imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na majina ya vituo vya mafuta, mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa hapo juu, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA kwa anwani iliyotajwa hapa chini ndani ya siku kumi na nne tokea tarehe ya tangazo hili.

Soma zaidi :- Public Notice

Views: 161

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *