TANGAZO KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei ya Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Babati

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumatano, tarehe 6 Februari 2019 katika Hoteli ya White Rose iliyopo Babati Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma zaidi :- Mwito wa Maoni ya Wadau – Babati WSSA

A Call For Stakeholders Views – Babati WSSA

__________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *