TANGAZO KWA UMMA : Mwito wa Kupata Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Kanuni za Uwekaji na Usambazaji Mifumo ya Umeme 2019.

EWURA imeandaa mkutano wa taftishi ili kukusanya maoni kutoka kwa wadau juu ya marekebisho ya kanuni za uwekaji na usambazaji mifumo ya umeme 2019, utakaofanyika tarehe 12 Februari 2019 katika Ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki zilizopo Jengo la LAPF, Mkabala na kijiji cha makumbusho, gorofa ya saba, kuanzia saa nne kamili asubuhi.

Soma zaidi :-Mwito wa Kupata Maoni ya Wadau.

________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *