Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Moshi (Moshi WSSA) kwa Mwaka wa fedha 2018/19 – 2020/21

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 14 Februri 2018 katika ukumbi wa Umoja Lutherani Hosteli uliopo Moshi Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali; Baraza la Ushauri la watumia  Huduma  zinazodhibitiwa na EWURA; wateja wa Moshi WSSA; na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau-Moshi WSSA-KISWAHILI

A Call for Stakeholders’ Views-Moshi WSSA-ENGLISH

________________________________________________________________________

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *