Maombi ya Leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Karatu (Karatu WSSA)

TAARIFA inatolewa kwa umma kuwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Karatu (Karatu WSSA)  kwa ajili ya kutoa huduma za majisafi na usafi wa mazingira katika Mji wa Karatu. EWURA inakaribisha maoni au pingamizi kutoka kwa wananchi juu ya maombi hayo. Soma Zaidi:-

_________________________________________________________________

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *