Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Iringa (Iringa WSSA) kwa Mwaka 2018/19 – 2020/21

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 21 Februari 2019 katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo uliopo Iringa Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa Mamlaka ya Maji Iringa, na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau-Iringa WSSA

A Call for Stakeholders’ Views-Iringa WSSA

_________________________________________________________

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *