Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya wa Makambako (“Makambako WSSA”) Kwa Mwaka 2018/19 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 11 Aprili 2019, katika Ukumbi wa Green City, Mjini Makambako kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau-Makambako WSSA

A Call for Stakeholders’ Views -Makambako WSSA

 

______________________________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *