Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Vwawa-Mlowo (Vwawa-Mlowo WSSA) Kwa Mwaka 2018/19 – 2020/21

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumanne, tarehe 16 Aprili 2019 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Vwawa uliopo Vwawa, Mbozi kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa Mamlaka ya Maji Vwawa-Mlowo, na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau- Vwawa Mlowo WSSA

A Call For Stakeholders’ Views-Vwawa Mlowo WSSA

_______________________________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *