Mwito wa Maoni : Maombi ya Bei za Mpito za Huduma za Uondoaji wa Majitaka kwa gari kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inawaomba wadau kuwasilisha maoni ya maandishi…

TANGAZO: Kuhama Ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki

Taarifa inatolewa kuwa, kuanzia tarehe 16.5.2022, Ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki zitakuwa ghorofa ya 4,…

TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta kuanzia Jumatano 4 Mei 2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za…

Mwito wa Maoni: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania,…

TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli kuanzia Jumatano 6 Aprili 2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za…

Mwito wa Maoni: Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania,…

TAARIFA KWA UMMA : Ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo RAK Energies Filling Station.

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea…

TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yaandaa Kanuni Mpya za Umeme za mwaka 2022

Kwa mujibu wa Kifungu cha 8(1) (h) cha Sheria ya Umeme, Sura ya 131, Mamlaka ya…

EWURA Yazindua Miongozo ya Kuandaa Mikakati ya Kudhibiti Upotevu wa Maji na Usimamizi wa Dira kwa Mamlaka za Maji Nchini

EWURA imeandaa miongozo hiyo ili kuboresha utendaji wa Mamlaka za Maji nchini. Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/water-regulatory-tools/ Visits: 174

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan azindua Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Maji Nchini kwa mwaka 2020/21

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Ripoti ya Utendaji ya…