TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maoni ya Wadau kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Umeme kutoka Kampumi ya Usambazaji Umeme ya Mwenga kwa Mwaka 2021/22-2023/24

Kwa mujibu wa Kifungu cha 19 (2) (b) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414, kutakuwa…

TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa Kampuni ya Dangote Cement Ltd

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi haya awasilishe kwa maandishi kabla ya saa…

TAARIFA KWA UMMA:Mwito wa Maoni kuhusu Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka NextGen Solawazi Limited

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi haya awasilishe kwa maandishi kabla ya saa…

TANGAZO- Semina ya Mafundi Umeme wa Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga 25-27 Novemba 2020

Fundi umeme mwenye nia ya kuhudhuria anaombwa kuthibitisha kwa ujumbe mfupi (SMS) kwenye namba 0757171723 au…

TAARIFA KWA UMMA-Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa Mwenga Hydro Limited

Soma Zaidi:- Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa Mwenga Hydro Electricity Licence Application from…

Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme wa Dharura

EWURA inakaribisha maoni au pingamizi  kuhusiana na maombi ya leseni ndani ya siku ishirini na moja…

TANGAZO-Semina ya Mafundi Umeme wa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, Septemba 2020

EWURA inawaalika mafundi umeme wote wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kwenye semina ya…

TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme Kutoka Kampuni ya Luponde Hydro

EWURA imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa Kampuni ya Luponde Hydro. Yeyote mwenye…

TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka Kampuni ya Madope

EWURA imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa Kampuni ya Madope.Mtu yeyote mwenye maoni…

TAARIFA KWA UMMA: Amri kwa Wamiliki wa Majengo ya Makazi na Biashara kuhusu Bei za Umeme

EWURA yatoa AMRI kwa wamiliki wa majengo ya makazi na biashara kwamba bei za umeme kwa…