TAARIFA KWA UMMA: Mwito wa Maombi ya Leseni kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kyela – Kasumulu (Kyela – Kasumulu WSSA)

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi  dhidi ya maombi ya leseni ya Mamlaka ya Maji naUsafi…

EWURA Yaagiza Mamlaka za Maji Nchini Kusitisha Matumizi ya Bei za Maji za Mwaka 2021

EWURA imefuta bei zote za maji  za Mamlaka zote za Maji nchini zilizotakiwa  kutumika kuanzia Januari…

TAARIFA KWA UMMA-Maombi ya Leseni kutoka Same – Mwanga WSSA kwa ajili ya Kutoa Huduma za Majisafi na Usafi wa Mazingira katika Miji ya Same na Mwanga

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya maombi tajwa haya, awasilishe kwa maandishi EWURA ndani…

TAARIFA KWA UMMA-Maombi ya Leseni kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi  dhidi ya maombi tajwa haya, awasilishe kwa maandishi EWURA  ndani…

TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yatoa Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira Nchini kwa Mwaka 2018/19

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetoa Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka…

TANGAZO: Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Igunga WSSA kwa Mwaka 2020/21 – 2022/23

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inakaribisha maoni ya…

TANGAZO: Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Nzega WSSA kwa Mwaka 2020/21 – 2022/23

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inakaribisha maoni ya…

TANGAZO: Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Tabora WSSA kwa mwaka 2019/20-2022/23

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inakaribisha maoni ya…

TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Nzega

Mnamo tarehe 20 February 2020 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ilipokea…

TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kutoka Mamlaka ya Maji Safi Na Usafi wa Mazingira ya Igunga

Mnamo tarehe 6 February 2020 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), ilipokea…