EWURA Yatangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia 2, Machi 2022

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 2 Machi 2022.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Hits: 15815

9 thoughts on “EWURA Yatangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli kuanzia 2, Machi 2022

  1. Jamani EWURA bei ya mafuta ya petrol inatuumiza sisi watumiaji wa vyombo vya moto. Mtupunguzie bei jamani tutashindwa hata kuendesha maisha yetu kwa sisi tunaotumia vyombo vya moto kama kitega uchumi

    1. Ndugu Zacharia,
      Bei ya mafuta hupangwa kwa mujibu wa sheria na kuongezeka kwa bei hutokana na kupanda kwa bei za mafuta kwenye soko la Dunia. Hata hivyo, bei hupanda na kushuka kila wakati. Serikali pia imeendelea kuchukua hatua ya kuweka ahueni katika bei ya mafuta kwa kupunguza tozo mbalimbali na kwa mwezi huu imeahirisha kodi kwa miezi mitatu yaani Machi,Aprili na Mei 2022.
      Asante

  2. Tunaomba mafuta yasinunuliwe na kampuni ya mtu mmoja serilikali wangehusisha hata watu binafsi kutokana na baadhi ya watu wanauwezo wa kuagiza mafuta na mwisho wa siku bei ikawa pungufu

  3. Hey there! Someone in my Facebook group shared this website with us
    so I came to look it over. I’m definitely enjoying the information. I’m bookmarking and will be tweeting
    this to my followers! Terrific blog and terrific style and design.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *