Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, taarifa inatolewa kwa umma kuwa kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 25 Agosti 2022, katika ukumbi wa KILIMANJARO CRANE HOTEL, Moshi Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau, kuhusu uhalali wa marekebisho ya bei zinazopendekezwa na Mamlaka ya Maji Moshi.
Soma Zaidi:-Marekebisho ya Bei-Moshi WSSA
Views: 1772