Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi ya leseni kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mpanda, awasilishe kwa maandishi EWURA k ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia siku ya kuchapishwa kwa tangazo hili. Nyaraka za maombi ya leseni zinaweza kuoneshwa kwa mtu yeyote kwa maombi maalum ya maandishi kwa anwani iliyotajwa hapa chini.
Soma Zaidi:-Mwito wa Maoni-Mpanda WSSA
Hits: 65