Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 4 Januari 2023 saa 6:01 usiku.
Soma zaidi ;- Bei Kikomo ya Mafuta ya Petroli Mwezi Januari 2023
Hits: 4303