TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta.
Soma zaidi :-KUBADILI UMILIKI WA LESENI NA JINA LA KITUO CHA MAFUTA – DANVIC PETROL STATION
Views: 293