TAARIFA KWA UMMA : Ombi la Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Kujaza gesi Asilia Iliyoshindiliwa kwenye Magari Kutoka Tan Health Tanzania Ltd.

EWURA imepokea ombi la kibali cha ujenzi wa kituo cha kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa kwenye magari…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Ujenzi wa Kituo Kidogo cha Kupokea Gesi Asilia Iliyoshindiliwa Eneo la Kiwanda cha King Lion Investment Co. Ltd, Kibaha, Pwani.

EWURA imepokea ombi kutoka kwa KING LION INVESTMENT COMPANY LIMITED ya kibali cha ujenzi wa kituo…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Vibali vya Ujenzi na Leseni Kutoka kwa Waombaji Walioorodheshwa

Taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba vibali vya ujenzi ili wajenge miundombinu ya mafuta na…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kampuni ya SBC Tanzania.

EWURA imepokea maombi ya Leseni ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa kampuni ya SBC Tanzania. Mtu yeyote mwenye…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni ya Muda ya Kuzalisha Umeme Kutoka Kampuni ya Wagonanze Investiments Ltd

EWURA imepokea maombi ya Leseni ya Muda ya Kuzalisha Umeme kutoka kwa kampuni ya Wagonanze Investments…