Maswali ya mara kwa mara

Frequently Asked Questions

 

Umeme

1) Mtu anawezaje kuomba leseni zinazohusu masuala ya umeme na kujua hatua iliyofikia maombi yake?

 

2) Inachukua muda gani kwa EWURA kushughulikia maombi ya leseni ya umeme?

  • Siku 30 tangu kupokewa kwa nyaraka kamilifu za maombi.

Hata hivyo, kwa leseni za mafundi umeme kuna muda maalum wa uhakiki wa vyeti kwenye vyuo vilivyotoa vyeti hivyo kwa mwombaji wa leseni, muda ambao si sehemu ya siku hizo 30. Kwa leseni za aina nyingine, kuna muda unaotumika kushauriana na taasisi nyingine kama wizara husika kuhusu umeme, muda ambao si sehemu ya siku hizo 30.

 

3) Je, naweza kuomba leseni ya ufungaji mifumo ya umeme kwa ajili ya kampuni yangu?

  • EWURA hutoa leseni ya ufungaji mifumo ya umeme kwa mtuna si kampuni.

 

4) Je, ni vigezo gani vinahitajika kwa ajili ya kupata leseni ya kufunga mifumo ya umeme?

  • Mahitaji ni Wasifu (CV) ya mwombaji, nakala ya vyeti vya elimu ya ufundi umeme, Picha (Passport size) yenye kivuli cha bluu, kitambulisho (uraia au leseni ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura au hati ya kusafiria), uthibitisho wa malipo ya ada ya maombi

ya chini kabisa kwa ajili ya mwombaji wa leseni ya kufunga umeme

 

5) Je, kuna utaratibu gani wa kuwasilisha maombi ya leseni ya fundi umeme?

  • Utaratibu wa kuomba leseni ya masuala ya umeme

 

6) Je, ni vigezo gani huhitajika kupata leseni ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme?

  • Mahitaji ya maombi ya leseni ya uzalishaji, usafirisha na usambazaji umeme

 

7) Ada ya maombi ya leseni ya ufungaji wa mifumo ya umeme ni kiasi gani? 

  • Ada ya maombi ni shilingi 10,000/-.

 

8) Ada ya leseni ya ufungaji wa mifumo ya umeme ni kiasi gani?

  • Ada ya leseni ya ufungaji wa mifumo ya umeme.

 

9) Ada ya maombi ya leseni ya muda ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme ni kiasi gani?

  • Ada ya maombi ya leseni ya muda kwa ajili ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme.

 

10) Ada ya maombi ya leseni ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme ni kiasi gani?

  • Ada ya maombi ya leseni ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme

 

11) Ada ya leseni ya uzalishaji wa umeme wa Gridi ya Taifa ni kiasi gani?

  • Ada ya leseni ya uzalishaji wa umeme wa Gridi ya Taifa

 

12) Ada ya leseni ya uzalishaji na usambazaji wa umeme nje ya Gridi ya Taifa ni kiasi gani?

  • Ada ya leseni ya uzalishaji na usambazaji wa umeme nje ya Gridi ya Taifa

 

13) Ada ya maombi ya leseni ya usafirishaji na usambazaji wa umeme ni kiasi gani?

  • Ada ya maombi ya leseni ya usafirishaji na usambazaji wa umeme

 

14) Ada ya leseni ya usafirishaji umeme wa Gridi ya Taifa ni kiasi gani?

  • Ada ya leseni ya usafirishaji umeme wa Gridi ya Taifa

 

15) Ada ya leseni ya usambazaji umeme ni kiasi gani?

  • Ada ya leseni ya usambazaji umeme

 

16) Ada ya leseni ya usajili wa uzalishaji umeme chini ya Megawati 1 ni kiasi gani?

  • TZS: 100,000.

 

17) Ada ya leseni ya kuzalisha umeme kwa matumizi binafsi ni kiasi gani?

  • Ada ya leseni ya kuzalisha umeme kwa ajili ya matumizi binafsi

 

18) Je, ni Kanuni gani zinatumika kwenye uwekezaji katika Miradi Midogo ya Umeme (SPPs)?

  • Kanuni zinazotumika kwenye miradi midogo

 

19) Ni maeneo gani ambayo miradi ya uzalishaji umeme mdogo (SPPs) inaweza kujengwa?

  • Miradi ya uzalishaji umeme mdogo inaweza kujengwa kwenye maeneo ya kimkakati tu ambayo yana unafuu wa kiufundi kwa msambazaji. Ili eneo lifikiriwe kuwa ni la kimkakati, halina budi kuwa na vigezo vifuatavyo: linachangia nguvu ya umeme (volti) au linachangia kupunguza upotevu wa umeme, au linaweza kuwa ni eneo ambalo mzalishaji na msambazaji umeme wanaweza kukubaliana eneo la kimkakati kutegemea hali halisi

 

20) Mzalishaji wa umeme mdogo kwenye eneo ambalo hakuna Gridi ya Taifa, anatakiwa kuchukua hadhari gani umeme wa Gridi ya Taifa utakapofikishwa eneo husika?

  • Kwanza ni kuamua kuwa mzalishaji mdogo kwa kuendelea kuutumia mtambo wa uzalishaji, na mtandao wake wa usambazaji ufidiwe.
  • Pili, anaweza kuamua kuwa msambazaji wa umeme kwa kuendelea na mtambo wa uzalishaji na mtandao wa usambazaji, azime mtambo wa uzalishaji ili anunue umeme kwa jumla kwa ajili ya kuusambaza kwa wateja wake.
  • Tatu, anaweza pia kuuhamishia mtambo wake wa uzalishaji na mtandao wa usambazaji kwenye eno lingine ambalo halina umeme.

 

21) Ni vigezo gani vinavyotumika kumfidia mzalishaji mdogo wa umeme (SPPs) pale ambapo Gridi ya Taifa itakapofika kwenye eneo lake?

  • Mtandao wa usambazaji hauna budi kujengwa kwa viwango vya TBS; mradi unatakiwa uwe na umri wa miaka kati ya miwili na kumi na mitano; mradi unatakiwa mradi unapaswa uwe umesajiliwa na EWURA; na unapaswa uwe umeungwa mkono kwa maandishi na Wizara inayohusika na masuala ya nishati.

22) Je, mradi wa umeme wa chini ya megawati 1 nao unatakiwa uwe na leseni?

  • Miradi yote ya umeme chini ya megawati 1 imesamehewa kuwa na leseni, isipokuwa inatakiwa kusajiliwa na EWURA.

 

23) Daraja za leseni za ufungaji wa mifumo ya umeme kwenye majengo ni zipi?

  • Daraja za leseni za ufungaji umeme

Juu

Petroli

Coming Soon

Gesi Asilia

Coming Soon

Maji na Usafi wa Mazingira

Coming Soon

General

Hits: 456